Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NOTE
NYUMBA INAKUWA WAZI TAREHE 07 /12 /2025
LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KUTOSHA
UMEME MITA YAKO MAJI YANA TIRIRIKA NDANI PARKING SPACE KUBWA
NYUMBA IKO KWENYE FENCI MAZINGIRA MAZURI SANA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
KODI 250,000/=
MALIPO MIEZI 5
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
Contact 📲
0713661530_0783661530



















