Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KM 1,5 KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
_________________
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji hiki chumba kipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA PANGO
_______________
Kodi kwa mwezi ni laki moja nanusu tuu/=
(150,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu
CALL
CALL
0754589413