Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KODI TSH 300,000X6
🏘️APARNTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
‼️ APARTMENT HII INAIFAULISHWA ‼️
--------------------------
BEI NI 300K X 6
---------------
🏘️APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
----------
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
----------
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
----------------
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258