Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HAYA WALE WAPENDA KARIBU NA MWENDOKASI HII YAPA APARTMENT WAPANGAJI 2 TU KWENYE FENSI HII YA CHINI INAKUWA WAZI TAREHE 30/09/2025 KUONA MALIPO RUKSA
Kodi I 400K
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO OPERN KITCHEN
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA FENSI NDIO IMALIZIWA MAFUNDI WAPO KAZINI UKIJA UTAWAONA HAKUNA HADITHI HAPA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#SIMTANK ZA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 2 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
Kodi 400,000/= Kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.