Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA MAFUNDI WAPO KWENYE SPEED YA 5G+ WAHI MTEJA MPYA KABISA JIRANI NA MWENDOKASI
ZIPO APARTMENT 3 TU
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA SANA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#MITER YAKO YA MAJI NA LUKU YAKO
#MAJI DAWASA
#NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 10 KUHAMIA NI TAREHE 01/05/2024 WAHI NYUMBA NI CHACHE
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________