Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KIMARA TEMBON DAKIKA 10 KWA MGUU
KODI 170,000X6
CHUMBA MASTER NA SEBULE
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343