Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HII APARTMENT ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 1.4.2024
.
.
ILA KWA SASA KUONA NA KULIPIA NI LUKSA
.
.
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA OPEN KITCHEN KUBWA SANA
.
.
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
NA YANA FLOW NDANI
.
.
KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
IPO KIMARA STOP OVER
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5 USAFILI BODABODA 1000 MPAKA NYUMBANI
.
.
KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
.
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
.
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
.
.
CONTACT
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030