Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#SASA ZIPO WAZI NYUMBA ZETU
APARTMENT'S ZINA PANGISHWA LOCATION:#KIMARA_MWISHO KM1.5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD USAFIRI
UPO MWINGI BODA BODA BUKU TUU.
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBLE KUBWA SANA MNO
#JIKO KUBWA BADO SINKI TUU
#MAJI YANA FLOW CHOONI
#UMEME LUKU YAKE
#NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
#PARKING SPACE IPO KUBWAAA
#SERVICE CHARGE 20,000/=
#KODI NI 200,000/=X"6"
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747