Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*ZIKO 3 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, HAKUNA FENSI
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 150,000/= KWA MWEZI
______________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
______________________________