Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER ZINAPANGISHWA
ZIPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA RAMI NI DK 4 TUU KWA MGUU
====
ZIPO NDANI YA FENSI PAKING SPESI KUBWA
SIFA ZAKE
MASTER NZURI KUBWA
UMEME SABMITER
MAJI DAWASA YANAFROO CHOONI
===
π°KODI. 120,000/=X4
KUONA CHUMBA 15000/
DALALI 120,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
BEBA HELA USIJE KUJILAUMU NDUGU MTEJA
===



















