Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐ฏ๏ธ KIMARA STOP OVER
๐Nyumba Mpya Zinapangishwa, ziko Aina 2 Tofauti
___________
____
โ
AINA YA 1:
โข Vyumba 2 vya kulala (kimojawapo ni Master)
โข Sebule
โข Jiko
โข Public Toilet
#Bei 500,000/= *6
__________________________
โ
AINA YA 2:
โข Sebule
โข Chumba Master
โข Jiko
#BEI 250,000/= *6
__________________________
โ
SIFA YA ZOTE
#Nyumba mpya zinakuwa tayari kuhamia tarehe 15/06/2024, kuona na kulipia ruksa
* Zinajitegemea UMEME na MAJI yanatoka ndani
* Zitawekwa Paving blocks
* Fensi Inamaliziwa Kujengwa
* Parking Kubwa
*
#Umbali wa dk 5 tu kwa miguu
_______
#Malipo ya dalali ni hela ya mwezi mmoja
#Service Charge 15,000/=
โ: 0753-172-516