Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MIEZI IMEPUNGU SASA NI 250,000X4
APARTMENT KALI SANA ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK10 KWA MIGUU  BODA BUKU. 
CHUMBA 
SEBLE KUBWA 
JIKO SAFI LINA WEKWA KABATI ZA CHINI 
PUBLIC TOILET 
MAJI YANA FLOW 
LUKU YAKO 
MAZINGIRA TULIVU SAFI
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 250,000X4




















