Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni chumba sebule master bedroom haina jiko kuna seem yakupikiya
Inajitegemea umeme maji yapo ndani yanatoka chooni
KODI YA PANGO
_________________
kwa mwezi ni laki moja nasitini tuu/=
(160,000)
X6
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka
CALL
0712656027