Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#MASTER YA KISASA KIMARA TEMBONI INAPANGISHWA(80K X 4)
------------------------------
📌KIMARA TEMBONI
Umbali: KWA MIGUU DK 4
_________________________
MUUNDO ÷
✔️ Chumba Kikubwa _ Master
✔️Feni Safi Ya Juu
✔️Sehemu Ya Kupikia
✔️Tiles & Gypsum
✔️ Mazingira TULIVU Sana
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Dawasa)
✔️LUKU#SUBMITA
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA
NDANI YA FENSI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 80,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 04 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI