Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko la kisasa
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏