Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Chumba kikubwa
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Lukuyako
Maji yana flow
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
-----------.
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA