Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 × 6) KIMARA MWISHO
---------------------------------------------
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK  6 KUTOKA MOROGORO ROAD
-------
SIFA ZAKE =
CHUMBA KIMOJA MASTER 
SEBULE KUBWA
TILES
GYPSUM 
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA 
------------
KODI NI LAKI  200,000 /=
KWA MWEZI 
MALIPO YA MIEZI SITA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA
--------
NOTE =
KWENYE HII NYUMBA KUNA HELA YA TAHAZARI ( CAUTION MONEY )
Contact:
0654101710
0787205300




















