Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA
KODI 100,000X4/5/6
CHUMBA MASTER KIKUBWA KIZURI SANA
KINA PANGISHWA KIMARA STOPOVA
UMBALI KM 2.5
BODA BODA 1000
BAJAJI 700
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME SUB METER
IPO NDANI YA FENS ILA FENSI YAKE SIYO YA KULAZA GARI WSP 0786085637
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA