Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


KIMARA TEMBONI BARABARA RAFIKI KWA MAGARI AINA ZOTE
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI DAKIKA 6
Ndani ya fence parking kubwa sana
Chumba masta
Seble kubwa sana
Jiko kubwa
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 20,000/ itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Kodi 280,000/=×3
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni 280,000 pindi unapolipia nyumba
O677370515 whatsapp



















