Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


*NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=============================================
*CHUMBA, SEBULE KUBWA SANA, DINNING KUBWA SANA, JIKO KUBWA UNAWEZA FANYA CHUMBA CHA KULALA, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, ILA HAKUNA GETI, LUKU NA MAJI VYA KUSHEA WA 4
*NYUMBA IKO UMBALI WA DK12 KWA MGUU KUTOKA STEND MWENDOKASI KIMARA MWISHO, PKPK 1000/=
*KODI 180,000/= KWA MWEZI
________________________________________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________