Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI ( 150000 x 3 )
LOCATION:KIMARA MWISHO
CHUMBA MASTER
SEBLE KUBWA INAPANGISHWA NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA ( 2,5 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKAS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJI 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 4
INA TILES GPSUM MADILISHA ALUMINIUM
UMEME SABUMITA
MAJI NJE YANA TILILIKA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA 15000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
🙋🏽♂️
PIGA SIMU #0625606710