Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA KIZURI MASTER
KINAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
# MASTER BEDROOM
#TILES, GIPSUM
#DIRISHA GRILL / NYAVU SAFI
#MAJI SHARE/ TSH5000/= PAR MONTH/ NA YANAFLONDANI
# UMEME SHARE TSH5000 PAR MONTH
π₯KODI YAKE 60K X6
ILIPWE ELFU SITINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2
BAJAJI TSH 700/=
BODA. TSH1000/=
π‘πΉπΏ KARIBU SANA..
Call 0659244543