Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






🔥 OFFER YA CHUMBA MASTER – KIMARA SUKA 🔥
Hiki chumba ya kisasa kiko tayari kwa mpangaji:
✅ Chumba kizuri sana
✅ Mazingira salama
✅ room iko standard
✅ umeme wako mwenyewe
✅ Nyumba ipo ndani ya fens
💰 Kodi: 90,000 tu kwa mwezi
🛋 Malipo: miezi 6
📍 Mahali: Kimara Suka – umbali wa kawaida sana km1.30 utoka barabara kuu boda buku
📞 Wahi sasa: 0659244543