Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET, MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
STAY ALONE, NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
NYUMBA IPO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX500/=
KODI 300,000/= KWA MWEZI
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1
What saapp number ⬅️ 0689-547258