Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI KUBWA INA PANGISHWA
KODI 150,000X6
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.2
BODA BUKU MPAKA GETINI
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA SANA NA KIBARAZA
MAJI YANA TILILIKA NDANI
IPO NDANI YA FENSI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMEME WAWILI
MAJI PIA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Call 0659244543