Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya Chumba master na Sebule (150,000) #KIMARA_TEMBONI
KODI 150,000 × 4
LOCATION:KIMARA TEMBONI AU UNAWEZA UKAPITIA
KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO WAWILI TUU YANAFLOW NDANI
NA KILA CHUMBA KINA FENI SAFI
KUHUSUFENS WATAJENGA ILA USALAMA UHAKIKA
UMBALI NI KM 2.5
BAJAJI 1000
TAKSI 700
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
ITAKUWA WAZI 03/8/2025 KUIONA NA KULIPIA RUKSA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300