Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA BARUTI
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI DK 2 KUTEMBEA KWA MIGUU
SOMA MAELEZO KWA UMAKINI
( A ) VYUMBA VIWILLI VYA KULALA SEBULE JIKO OPEN KITCHEN NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
HAKUNA MASTER
KODI NI TZS 400K X6
( B ) CHUMBA MASTER KUBWA SANA SEEBULE KUBWA MNO YA KUJIACHIA JIKO KUBWA LA KISASA LINA FUNGWA MAKABATI >OPEN KITCHEN NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
KODI 350×6
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
ZIKO APARTMENTS TATU TU KWENYE COMPOUND MOJA NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU 👉UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NB:
ITAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 10.07.2027
KUJA KUONA NA KULIPIABNI NI RUKSA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K
CONT 👇
###0655256419