Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







UKISIKIA BAHATI NDIO HII HAYA BACHELA HOUSE KALI #BEI 100K
#MASTER BERD ROOM
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI
#LUKU 2 MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LICATION KIMARA KOROGWE DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 100,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUZA MIEZI SITA PAMOJA NA PESA YA DALALI YA MWEZI MMOJA
#NOTE HAPA ANAHITAJIKA BACHELA WA KIUME AU WA KIKE
SIMU
+255 684881429
+255 658586449
MSHATI