Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISAAA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA BADO SINKI TU
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
KODI 200,000/=ร6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347