Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA LAMI BODA BUKU TUU.
--------
Chumba Master
Seble kubwa Sana
Na kibalaza chako
Slide window
Maji yana flow
Umeme Luku Yake mwenyewe
Nyumba ipo ndani ya fence
Parking space hakuna
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 150,000/=X"6 "
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 150,000/=
-----------
Contact
###0655256419



















