Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 150,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU MNASHEA WAWILI TUU
#HAKUNA FENSI HAPA ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA
BEI NI 150,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700
0716 776247