Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa
Location Kimara Mwisho Km 1.5 from Road Usafiri ni Bajaji na Daladala ukishuka unapiga teke mlango
Kodi 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 1 Service Charge 200,00 Kuona nyumba
Sifa za nyumba
==============
Chumba na Sebule Kubwa
Choo ndani
Kitchen with Cabinet
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Paving Blocks
Garden nzuri
Nyumba mpya kabisa haija Kaliwa
Good environment
0715949085
0782838336