Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #280k
==
Vyumba 3 vya kulala sebule Choo public na jiko zuri ndani
==
Kodi 280,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 1.2 kutoka Morogoro Road Usafiri bajaji bodaboda na haice
===
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Ndani ya fence ya waya na michongoma
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================