Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA ZINA PANGISHWA
KODI 200,000X6 MAONGEZI KUHUSU MIEZI YAPO
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
CHUMBA SEBULE MASTER NA JIKO
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637