Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER KUBWA NA JIKO LAKE KUBWA INAPANGISHWA
LOCATION STOP OVER
KODI 150.000.6
UMBALI DAKIKA 15 KWA MIGUU
USAFIRI BODA 1000
INAJITEGEMEA UMEME MAJI DAWASA YANA TILILIKA NDANI
IPO NDAN YA FANSI PARKING SPACE KUBWA NA USALAMA WAKUTOSHA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI SH .15.000
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















