Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#Repost dalali_shoo
280,000 x3 KIMARA TEMBONI BALA BALA RAFIKI KWA MAGALI HAINA ZOTE
=========
NYUMBA INAPANGISHWA
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI DAKIKA 6
Ndani ya fence parking kubwa sana
-------boda boda 1000
Chumba masta
Seble kubwa sana
Jiko kubwa
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 20,000\/
Kodi 280,000\/=×3
--------
Nb
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 280,000
##0655256419



















