Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA NA IPO NDANI YA FENSI
๐๏ธAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#PUBLIC TOILET
โผ๏ธ HAKUNA JIKO
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#GARDEN
#PAVING
#FENSI
BEI NI 150,000/=X 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI DALADALA AU BODABODA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258