Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🏘️APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING
#GARDEN
----------------
BEI NI 300,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
----
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O AU BODABODA SH 1000
-----------
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258