Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







250,000. KIMARA TEMBONI
APATIMENTI KALI SANA MPYAA KABISA. INAPANGISHWA ZIPO TATU KATIKA COMPAUND MOJA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10-
PKPK 1000/=
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA SEBULE CHOO NDANI CHA PABLIC NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 250,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI. 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Nyumba inapigwa aluminium yote tajiri
Kalibu sana tajiri.
#0710614924
#0688653940