Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KALI MNO (STAND ALONE) INAPANGISHWA KIMARA SUCA YENYE SIFA HIZI#####
VYUMBA V4 KULALA K1 MASTER,SEBLE,JIKO,DINNING NA CHOO PUBLIC NDANI YA FENSI#####
UMEME,MAJI DAWASA NA PIA KUNA KISIMA CHA MAJI YA MVUA NA MAJI YANAFLOW NDANI#####
NYUMBA IKO UMBALI WA KM 2.5 TOKA MOROGORO ROAD**** BARABARA NI RAFIKI KWA GARI AINA YEYOTE#####
KODI LAKI 4X6********
CALL 0659244543



















