Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER NA JIKO KODI 150,000X6
MPYAA KABISA KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.2
BODA 1000
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BROCK ZIMEWEKWA TIYALI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347