Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000 Γ 6) πππ ππ₯π ππ’π₯π’ππͺπ ππ¨ π¨ππ¨π‘ππ’ π₯ππ©ππ₯ π¦πππ ππ’π§π π¨π‘πππππ
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 400,000 Γ 6
LOCATION KIMARA KOROGWE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UNAWEZA PITIA UBUNGO RIVER SIDE PIA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET NDANI
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI MITA YAKO
#MAZINGIRA MAZURI GARDEN NZURI NA PAKING SPACE IPO
NB: NYUMBA INAKUWA WAZI TAREHE 31.10.2025 AU KABLA YA HAPO KUONA KULIPIA RUKSA
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300