Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(150,000X4)KIMARA SUKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT_FOR_RENT_AT_KIMARASUKA 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏛🏛🏛KALISANA
KODI KWAMWEZI 150,000/X4X5👈
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
YUMBA HAIPO NDANI YAFES ULINZI WA KUTOSHA
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2👈 USAFIRI BAJAJI MASAA 24 NAULI 1000 AU BODA BODA 1000 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 2 UPO NDANI
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT 3 NA HII MOJA NDO IPO WAZI KUONA NAKULIPIA RUKSA KABISAA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS 15,000
➖➖➖➖➖➖➖➖
Contact us:-
0716223412
0618976024