Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 350,000X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
_______________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347



















