Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI BUKU
KODI YA PANGO
_________________
___________
kwa mwezi ni laki mbili nanusu tuu/= 250,000 X5
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347