Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA SUKA DK 12 PIKIPIKI ELF KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA. SIFA YA NYUMBA. Hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji unajitegemea nyumba hii ipo kwenye fensi sema ipo kwenye Mazingira mazuri sana KODI YA PANGO 200,000 X6
###0655256419