Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENT YA KISASA
------------------------------
📌I:KIMARA TEMBONI(Dsm) 🇹🇿
📌#NAFAULISHA MIEZI 4 TU!
Umbali:2.Km BAJAJI 1000/=
_________________________
MUUNDO ÷
✔️Chumba Kikubwa
✔️Sebule Kubwa
✔️Choo Cha Public ndani
✔️JIKO.
✔️Feni Ya Juu
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Dawasa)
✔️LUKU YAKE
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA NDANI YA FENSI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 150,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 04/05/06 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
Contact
0742260844
0657384670