Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISAA UNAZINDUA MWENYEWE 
ZIINAPANGISHWA 
.
LOCATION:KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN 
.
BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE NDG MTEJA  WANGU 
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
.
SIFA ZAKE 
#########
CHUMBA MASTER 
NA SEBULE KUBWA 
.
TILLES 
GYPSUM 
ALUMINIUM 
LUKU YAKE 
MAJI YAPO 
DAWASA 
YANAFLOW NDANI 
NYUMBA NZURI SANA 
.
NDAN YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI 
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
.
O677370515




















