Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


STAND ALONE NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE
#SEBULE WASTANI SIO KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#DAINING TABLE
#JIKO LENYE MAKABATI
#CHOO CHA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI PARKING YA GARI MBILI
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#NYUMBA INAANZA KUPIGWA RANGI NA MATENGENEZO MADOGO
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 6 KUTOKA MWENDOKASI KASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
________________________________________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________