Nyumba inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Shule.
- Master
- Jiko
- Store
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Kila mtu ana tank lake
- Paving
- Parking
- Kuna kisima pia maji 24/7
- Fence
Kodi 180,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.